Show simple item record

dc.contributor.authorOmara, Aziza M
dc.date.accessioned2021-09-08T05:30:50Z
dc.date.available2021-09-08T05:30:50Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155443
dc.description.abstractKatika utafiti huu tunalenga kuchanganua jumbe za kusuta katika leso mjini Mombasa tukiongozwa na nadharia ya Upole. Utafiti huu ulihusu jumbe za kusuta za leso mjini Mombasa. Utafiti huu ulikuwa unachunguza haipothesia nne kwamba a) maudhui ya kusuta, umbeya na mapenzi yanatawala katika leso mjini Mombasa, b) Lugha ya kitamathali hujitokeza katika mbinu ya kusuta katika kuwasilisha jumbe za Ieso, c) Lugha sanifu ndiyo lugha inayopendelewa katika maandishi ya leso mjini Mombasa na d) Kuna mitindo tofauti ya lugha inayotumika katika leso mjini Mombasa. Data ilikusanywa kutoka maduka makuu ya leso mjini Mombasa. Kutokana na data hii, sampuli ya jumbe 100 ilichaguliwa ili kuchanganuliwa. Data ilichanganuliwa kwa kutumia majedwali na vielelezo vya nambari na maelezo ya matokeo kujadiliwa. Utafiti huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi wa utafiti na katika sura ya pili tumejadili kwa kina suala zima la leso. Katika sura ya tatu tumeainisha maudhui na sura ya nne tukaainisha mitindo ya lugha iliyotumika katika jumbe za kusuta za leso. Mwishowe tukatoa muhtasari, hitimisho, changamoto za utafiti, mapendekezo na matokeo ya utafiti katika sura ya tano.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleJumbe Katika Leso: Matumizi Va Mbinu Va Kusutalfen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States