Show simple item record

dc.contributor.authorMwalili, Noreen M
dc.date.accessioned2021-09-08T05:37:05Z
dc.date.available2021-09-08T05:37:05Z
dc.date.issued2008
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155444
dc.description.abstractUtafiti huu ni jaribio la kuchanganua kishazi norrnno cha Kiswahili Sanifu. Kishazi nomino ni kishazi tegemezi ambacho huelekea kuchukua majukurnu ya kirai nomino katika sentensi. Kazi hii imegawika katika sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi wa kazi yenyewe. Katika utangulizi huu tumeelezea sababu zetu za kuchagua mada na kuorodhesha madhumuni ya utafiti huu. Isitoshe, turneufafanua msingi wa nadharia tuliyotumia na kupitia yaliyoandikiwa kuhusu mada tunayoishughulikia. Katika sura ya pili, tumetoa muhtasari wa maelezo ya dhana za kisarufi tunazoshughulikia kwa njia moja au nyingine. Katika sura ya tatu, tumeainisha kishazi nomino cha Kiswahili Sanifu katika kategoria tatu na tukatoa ufafanuzi wake. Pia tumezitathmini nafasi za kisarufi zinazochukuliwa na kishazi nomino cha Kiswahili Sanifu. Sura ya nne imeshughulikia upatanisho wa kisarufi wa kishazi nomino cha Kiswahili Sanifu na kishazi kikuu na sura ya tano ni hitimisho ambapo tumeelezea tuliyoyatambua na kutoa mapendekezo. 'en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMofosintaksia Va Kishazi Nomino Eha Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Uminimalistien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States