Mofosintaksia Va Kishazi Nomino Eha Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Uminimalisti
View/ Open
Date
2008Author
Mwalili, Noreen M
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu ni jaribio la kuchanganua kishazi norrnno cha Kiswahili Sanifu. Kishazi
nomino ni kishazi tegemezi ambacho huelekea kuchukua majukurnu ya kirai nomino
katika sentensi.
Kazi hii imegawika katika sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi wa kazi yenyewe.
Katika utangulizi huu tumeelezea sababu zetu za kuchagua mada na kuorodhesha
madhumuni ya utafiti huu. Isitoshe, turneufafanua msingi wa nadharia tuliyotumia na
kupitia yaliyoandikiwa kuhusu mada tunayoishughulikia. Katika sura ya pili, tumetoa
muhtasari wa maelezo ya dhana za kisarufi tunazoshughulikia kwa njia moja au nyingine.
Katika sura ya tatu, tumeainisha kishazi nomino cha Kiswahili Sanifu katika kategoria
tatu na tukatoa ufafanuzi wake. Pia tumezitathmini nafasi za kisarufi zinazochukuliwa na
kishazi nomino cha Kiswahili Sanifu. Sura ya nne imeshughulikia upatanisho wa kisarufi
wa kishazi nomino cha Kiswahili Sanifu na kishazi kikuu na sura ya tano ni hitimisho
ambapo tumeelezea tuliyoyatambua na kutoa mapendekezo. '
Publisher
University of Nairobi
Rights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
- Faculty of Arts [606]
The following license files are associated with this item: