Show simple item record

dc.contributor.authorNgonge, Lilian G
dc.date.accessioned2021-09-09T05:28:55Z
dc.date.available2021-09-09T05:28:55Z
dc.date.issued2006
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155453
dc.description.abstractTasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na Nguvu ya Sa/a. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, tumebainisha tatizo linalotafitiwa, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, pamoja na njia za utafiti. Aidha tumeangazia udurusu wa kazi mbalimbali pamoja na msingi wa kinadharia. Tumetumia nadharia ya kisosholojia inayosisitiza umuhimu wa mazingira yaliyoibusha kazi ya msanii. Katika sura ya pili, tumeonyesha athari za udhanaishi zinazobainika katika riwaya ya Kichwamaji. Vilevile mazingira mbalimbali ambayo yamemwathiri Kezilahabi na kumfanya achukue mtazamo wa kidhanaishi yamejadiliwa. Sura ya tatu imeangazia udhanaishi katika Nguvu ya Sa/a. Tumebainisha athari za udhanaishi kupitia maudhui mbalimbali. Aidha tumeonyesha vile ambavyo mwandishi ameathiriwa na mazingira alimoandikia. Sura ya nne ni hitimisho. Tumehitimisha kwa kutoa maom kuhusiana na kazi hii kwa ujumla. Vilevile, tumetoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleAthari Za Udhanaishi Katika Kichwamaji Na Nguvu Ya Salaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States