Show simple item record

dc.contributor.authorOiro, George O
dc.date.accessioned2021-09-09T06:21:08Z
dc.date.available2021-09-09T06:21:08Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155457
dc.description.abstractTasnifuhii imeshughulikia urudiaji na uwasilishaji wa maana katika diwani ya Dhifa na Vifaru Weusi. Tumeangazia mambo yafuatayo: usuli, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti,sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka ya utafiti, yaliyoandikwa kuhusu mada, msingiwa kinadharia na mbinu tulizotumia kufanya utafiti. Tumeeleza aina mbalimbali za urudiajikama sehemu ya kimsingi ya ubainishaji wa viwango vya urudiaji. Tumetoa maana za ainaza urudiaji na kuzigawa katika vitengo vitatu vikuu ambavyo ni: urudiaji sahili, urudiaji wa kimaumbona urudiaji wa kimuundo. Tumechunguza aina za urudiaji kama zinavyojitokeza katikadiwani ya Dhifa na Vifaru Weusi kwa kutoa mifano mwafaka ili kudhihirisha namna ambavyowashairi wametumia urudiaji kuwasilisha maana na kuendeleza dhamira. Tumeangazia dhimana athari ya urudiaji kama mbinu ya kipekee inayotumiwa na washairi kuwasilisha maana na kuthibitisha namna urudiaji unavyomwathiri mpokeaji kwa kuelezea dhima zifuatazo: usisitizajiwa maana, uelewekaji, upigaji mwangwi, suala la wizani, ukumbukaji, suala la ujumi nauziada.Tumehitimisha kwa kutoa muhtasari wa utafiti na mapendekezo ya tafiti nyinginezo.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUrudiaji Na Uwasilishaji Wa Maana Katika Ushairi Wa Kisasaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States