Show simple item record

dc.contributor.authorShitemi, Julius M
dc.date.accessioned2021-09-16T09:00:31Z
dc.date.available2021-09-16T09:00:31Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155480
dc.description.abstractUtafiti huu unachunguza usimulizi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Utafiti ulitumia nadharia ya . naratolojia. Tulitaka kuchunguza matwnizi ya usimulizi katika ushairi kama ilivyo katika bunilizi kama nwaya. Kazi hii imepangwa katika sura sita: Sura ya kwanza inahusisha utangulizi wa kazi hii. Yaliyomo ni pamoja na tatizo la utafiti, dhamira ya utafiti, maswali ya utafiti, sababu za utafiti, upeo na mipaka, msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu somo, mbinu za utafiti na mchango wa utafiti. Sura ya pili, imechunguza usimulizi. Vipengele vya aina za wasimulizi; sifa za usimulizi; kuonekana kwa msimulizi, utegemefu wa msimulizi na hadhi ya msimulizi zimechunguzwa. Sura ya tatu, imechunguza mtazamo katika usimulizi, Mtazamo nje na mtazamo ndani umechunguzwa pamoja ya sawia za mtazamo. Sura ya nne, imechunguza wakati hadithi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Vipengele vya mpangilio wa matukio, umarudio vimechunguzwa, Sura ya tano, imechunguza uwasilishaji mawazo na usemi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Sura ya sita, imefanya tatlunini ya vipengele vya usimulizi vilivyotumika katika Utenzi wa Stri Li Asirali na kutoa mapendekezo.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUsimulizi Katika Utenzi Wa Siri Li Asiralien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States