Usimulizi Katika Utenzi Wa Siri Li Asirali
View/ Open
Date
2011Author
Shitemi, Julius M
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu unachunguza usimulizi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Utafiti ulitumia nadharia ya .
naratolojia. Tulitaka kuchunguza matwnizi ya usimulizi katika ushairi kama ilivyo katika bunilizi kama
nwaya.
Kazi hii imepangwa katika sura sita: Sura ya kwanza inahusisha utangulizi wa kazi hii. Yaliyomo ni
pamoja na tatizo la utafiti, dhamira ya utafiti, maswali ya utafiti, sababu za utafiti, upeo na mipaka, msingi
wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu somo, mbinu za utafiti na mchango wa utafiti. Sura ya pili,
imechunguza usimulizi. Vipengele vya aina za wasimulizi; sifa za usimulizi; kuonekana kwa msimulizi,
utegemefu wa msimulizi na hadhi ya msimulizi zimechunguzwa. Sura ya tatu, imechunguza mtazamo
katika usimulizi, Mtazamo nje na mtazamo ndani umechunguzwa pamoja ya sawia za mtazamo.
Sura ya nne, imechunguza wakati hadithi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Vipengele vya mpangilio wa
matukio, umarudio vimechunguzwa, Sura ya tano, imechunguza uwasilishaji mawazo na usemi katika
Utenzi wa Siri Li Asirali. Sura ya sita, imefanya tatlunini ya vipengele vya usimulizi vilivyotumika katika
Utenzi wa Stri Li Asirali na kutoa mapendekezo.
Publisher
University of Nairobi
Rights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
The following license files are associated with this item: