Show simple item record

dc.contributor.authorMutai, Grace Wairimu
dc.date.accessioned2021-09-16T09:10:12Z
dc.date.available2021-09-16T09:10:12Z
dc.date.issued2019
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155481
dc.description.abstractMada yetu ya utafiti ilikuwa uamilifu wa chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu.Tulidhamiria kuchunguza viambajengo vya aina tofauti za chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu huku tukilenga kuonyesha miundo ~i inayowakilishwa na aina hizi za chagizo. Tulikusudia kubaini iwapo chagizo zenye miundo fulani huwakilisha majukumu yale yale ya theta au tofauti iwapo nafasi ya chagizo husika itabadilishwa katika sentensi fulani. Utafiti wetu ulitumia nadharia ya X-baa na Theta. Nadharia ya X-baa ilitumika kubainisha miundo tofauti inayowakilishwa na chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu na ile ya Theta ilitumiwa kutambua majukumu tofauti ya theta yanayowakilishwa na chagizo hizi katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu.Data iliyotumika katika utafiti wetu ilidondolewa kutoka kwa vitabu vitatu tofauti ambavyo vilihusisha sentensi zilizokuwa na kipashio chagizo ambazo zilidondolewa na kuchanganuliwa kwa misingi ya nadharia tofauti. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo na kupitia kwa vielelezo tungo.llibainika kuwa kipashio chagizo ambacho ni cha ziada katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu huwa na miundo tofauti iliyoundwa kwa viambajengo tofauti na kwamba chagizo hizi huwakilisha majukumu tofauti ya theta kutegemea kinafafanua kirai kipi katika sentensi. Vilevile ilikuwa wazi kuwa chagizo zilizo na muundo sawia zaweza kuwakilisha majukumu tofauti ya theta kulingana na kitenzi kinachotoa jukumu hili la theta kwacho. ven_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMuundo Na Uamilifu Wa Chagizoen_US
dc.titleMuundo Na Uamilifu Wa Chagizo Katika Viral Na Vishazi Vya Kisw Ahili Sanifuen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States