Show simple item record

dc.contributor.authorOtuchi, Timothy M
dc.date.accessioned2021-09-20T05:41:42Z
dc.date.available2021-09-20T05:41:42Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155492
dc.description.abstractUtafiti huu ulihusu uchunguzi wa lugha yamazungumzo katika Jdara ya Uhamiaji nchini Kenya. Ni utafiti uliokuwa na malengo mawili ambayo ni; kubainisha aina za sentensi zinazotumika katika mazungumzo katika Jdara ya Uhamiaji; na kubainisha uhamishaji na uchanganyaji msimbo na sababu zake katika Idara ya Uhamiaji. Tulifanya hivi kwa kuzingatia aina na miundo ya sentensi zinazotukia katika matumizi ya lugha baina ya wanaidara wenyewe na baina ya wanaidara hao na wahudumiwa ambao ni jumla ya umma unaokuja kutafuta huduma katika ofisi hizi. Ukiukaji wa kanuni za kisarufi ni wa hali ya juu, sentensi mseto hutumiwa kutegemea mada ya mazungumzo japo nyingi ni sahili na viwango vya uhamishaji na uchanganyaji msimbo ni vya juu vilevile. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili. Nadharia ya ujumlishaji usemi na ile ya Bernstein ya msimbo pana na msimbo finyu. Nadharia hizi ziliteuliwa kutokana na ulinganifu wake kwenye masuala yaliyochunguzwa katika utafiti. Utafiti huu ulibainisha kuwa Idara ya Uhamiaji nchini Kenya husajili uhamishaji na uchanganyaji msimbo pamoja na miundo mbalimbali ya sentensi. Lugha tatu kuu zinazohusika katika uchanganyaji na uhamishaji msimbo ni Kiingereza, Kiswahili na lugha za kienyeji. viien_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectLugha , Nchini Kenyaen_US
dc.titleLugha Katika Idara Ya Uhamiaji Nchini Kenya:mfano Wa Idara Ya Uhamiaji Mombasaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States