Show simple item record

dc.contributor.authorMwaniki, Nyaga P
dc.date.accessioned2021-09-20T06:04:41Z
dc.date.available2021-09-20T06:04:41Z
dc.date.issued2009
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155494
dc.description.abstractTasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval ill the City (1976) 11a Usaliti Mjini (1994). Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya aina za ulinganifu inaweza kuwepo au kutokuwepo katika kazi zilizotafsiriwa. Tasnifu hii imejengeka katika sura nne. Sura ya kwanza tumetoa some la utafiti. madhumuni ya utafiti. rnisingi ya kinadharia. nadharia tete na vilevile tumerejelea yaliyoandikwa kuhusu sorno letu la utafiti. Katika sura ya Pili tumezingatia fafanuzi za dhana ya ulinganifu pamoja na kujadili aina mbalimbali za ulinganifu. Sura ya tatu ndicho kiini cha utafiti huu ambapo tumechunguza aina za ulinganifu katika kazi ya kifasihi ya Usaliti Mjini . Tumejadili ulinganifu wa k irnaumbo. kiuamili. kisarufi. kitamathali, kiisimu, kimuktadha na kimaudhui. Sura ya nne ni hitimisho. Tumeeleza matokeo ya utafiti wetu na athari zake na kisha tukatoa mapendekezo yetu.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectUlinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihien_US
dc.titleDhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi; Tathmini Ya Usaliti Mjinien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States