Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi; Tathmini Ya Usaliti Mjini
View/ Open
Date
2009Author
Mwaniki, Nyaga P
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka
kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval ill the City (1976) 11a
Usaliti Mjini (1994).
Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya aina za ulinganifu inaweza kuwepo au
kutokuwepo katika kazi zilizotafsiriwa.
Tasnifu hii imejengeka katika sura nne. Sura ya kwanza tumetoa some la utafiti.
madhumuni ya utafiti. rnisingi ya kinadharia. nadharia tete na vilevile tumerejelea
yaliyoandikwa kuhusu sorno letu la utafiti.
Katika sura ya Pili tumezingatia fafanuzi za dhana ya ulinganifu pamoja na
kujadili aina mbalimbali za ulinganifu.
Sura ya tatu ndicho kiini cha utafiti huu ambapo tumechunguza aina za ulinganifu
katika kazi ya kifasihi ya Usaliti Mjini . Tumejadili ulinganifu wa k irnaumbo.
kiuamili. kisarufi. kitamathali, kiisimu, kimuktadha na kimaudhui.
Sura ya nne ni hitimisho. Tumeeleza matokeo ya utafiti wetu na athari zake na
kisha tukatoa mapendekezo yetu.
Publisher
University of Nairobi
Rights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
- Faculty of Arts [606]
The following license files are associated with this item: