Show simple item record

dc.contributor.authorOsango, Dinah S
dc.date.accessioned2021-09-20T06:15:26Z
dc.date.available2021-09-20T06:15:26Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155495
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia suala la ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika Mkamandume ya S. A. Mohamed. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchanganua hali ya kisiasa na kiuchumi katika Visiwa vya Zanzibar na Pemba na kutathmini chanzo cha hali hiyo kwa kuihusisha na historia. Aidha, tumechanganua mtazamo wa mwandishi kuhusu mambo yaliyopelekea mapinduzi ya mwaka wa 1964 katika Visiwa vya Pemba na Zanzibar na athari zake kwa wananchi wa visiwa hivi baada ya mkoloni kuondoka. Nadharia ambayo imetuongoza ni nadharia ya uhalisia wa kijamaa ambayo ni ya kimapinduzi na inayosisitiza umuhimu wa kuielewa historia ya jamii husika wakati wa kuhakiki kazi ya fasihi huku jamii husika ikisawiriwa kiyakinifu. Utafiti wetu uligundua kuwa, matatizo yanayowakumba wananchi wa visiwa vya Zanzibar na Pemba yana misingi yake katika historia ya jamii hii na kulingana na Mkamandume, hali ya kisiasa na kiuchumi imeendelea kuwa mbaya zaidi baada ya mkoloni kuondoka kiasi cha kuwepo kwa haja ya ukombozi wa pili.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectUkombozi wa kisiasa na kiuchumien_US
dc.titleUkombozi wa kisiasa na kiuchumi katika mkamandumeen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States