Show simple item record

dc.contributor.authorKiongera, Kiarie J
dc.date.accessioned2021-09-27T06:16:52Z
dc.date.available2021-09-27T06:16:52Z
dc.date.issued2012
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155522
dc.description.abstractKazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua fa Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, zilizoandikwa na KW. Wamitila Tumeongozwa na nadharia ya Ki-Foucault iliyoasisiwa na Micheal Foucault. Huyu ni mwananadharia wa Kifaransa aliyeishi baina ya mwaka wa 1926 hadi 1984. Tunaangazia mtazamo wake kuhusu mahusiano ya mamlaka na upinzani unaozuka pale panapokiukwa maadili ya mahusiano yenyewe. Upinzani tunaouchanganua ni ule unaoongozwa na wahusika vijana katika tamthilia nne tulizoziteua Katika sura ya kwanza, tumechunguza maswala ya kimsingi yanayodhamiria kujenga msingi wa utafiti wetu kama vile: Sababu za kushughulikia mada, tatizo la utafiti, yaliyoandikwa kuhusu vijana, upeo na mipaka ya utafiti. Tumeongozwa na nadharia tete zifuatazo: kwamba vijana wamefanikiwa kuyaleta mabadiliko na kwamba wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika jitihada zao. Katika sura ya pili tumeijadili dhana ya vijana na kuyachunguza maovu ya kisiasa, kiuchumi na kijarnii. Hapo tumewaonyesha vijana wakikabiliana na maovu hayo ili kuleta mabadiliko chanya. Katika sura ya tatu tumechunguza mafanikio waliyoyapata vijana katika kuzibadilisha jarnii zao. Pia tumechunguza changamoto zinazowakabili katika harakati zao za kuleta mabadiliko chanya Katika sura ya nne tumetoa muhtasari wa utafiti rnzima na mapendekezo ya tafiti zaidi zinazoweza kufanywa kuhusiana na mada yetu.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMchangowa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States