Show simple item record

dc.contributor.authorObure, Elijah, M
dc.date.accessioned2021-10-01T11:56:05Z
dc.date.available2021-10-01T11:56:05Z
dc.date.issued2012
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155575
dc.description.abstractUtafiti huu unashughulikia swala la dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika nwaya za E.Kezilahabi, Rosa Mistika (1971) na C. Momanyi, Tumaini (2006) . Uchanganuzi huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza inahusu utangulizi wa utafiti. Katika sura ya pili tunachunguza na kuchanganua aina za dhuluma dhidi ya vijana wa kike na athari zake katika riwaya ya Rosa Mistika (1971). Katika sura ya tatu tunachanganua dhuluma dhidi ya vijana wa kike na athari zake katika riwaya ya C. Momanyi, Tumaini (2006). Sura ya nne inashughulikia vipengele vya mitazamo ya waandishi hawa wawili wa kiume na wa kike. Sura ya tano ni muhtasari na mapendekezo ya utafiti.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectDhuluma dhidi ya vijana wa kike katlka Riwaya za Rosa Mistlka na Tumainien_US
dc.titleDhuluma dhidi ya vijana wa kike katlka Riwaya za Rosa Mistlka na Tumainien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States