Dhuluma dhidi ya vijana wa kike katlka Riwaya za Rosa Mistlka na Tumaini
View/ Open
Date
2012Author
Obure, Elijah, M
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu unashughulikia swala la dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika nwaya za
E.Kezilahabi, Rosa Mistika (1971) na C. Momanyi, Tumaini (2006) .
Uchanganuzi huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza inahusu utangulizi wa utafiti.
Katika sura ya pili tunachunguza na kuchanganua aina za dhuluma dhidi ya vijana wa kike na
athari zake katika riwaya ya Rosa Mistika (1971). Katika sura ya tatu tunachanganua dhuluma
dhidi ya vijana wa kike na athari zake katika riwaya ya C. Momanyi, Tumaini (2006).
Sura ya nne inashughulikia vipengele vya mitazamo ya waandishi hawa wawili wa kiume na wa
kike. Sura ya tano ni muhtasari na mapendekezo ya utafiti.
Publisher
University of Nairobi
Rights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
The following license files are associated with this item: