Show simple item record

dc.contributor.authorMbayi, Lina A
dc.date.accessioned2021-10-19T07:21:09Z
dc.date.available2021-10-19T07:21:09Z
dc.date.issued2009
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155623
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu za kuchagua mada hii na kuorodhesha madhumuni ya utafiti huu. Isitoshe, tumeufafanua msingi wa nadharia tuliotumia katika utafiti huu na kupitia yaliyoandikwa kuhusu mada tunayoishughulikia. Katika sura ya pili tumeeleza dhana ya fani hatimaye tumetaja na kufafanua kwa kina vipengele mbalimbali vya fani. Vipengele vya fani tulivyoshughulikia ni wahusika, mandhari, toni, wakati, usimulizi, msuko, umbo na lugha. Tumeeleza maana zake na jinsi vinavyotumika katika uhakiki wa kifani. Katika sura za tatu na nne tumezihakiki tenzi za Howana Mwana Howani na Mwanakukuwa kwa kutumia misingi ya uhakiki wa kifani kama tulivyofafanua katika sura ya pili. Tumetathmini jinsi msanii alivyotumia vipengele vya fani kujenga kazi zake. Kwa kila kipengele tumetoa mifano kutoka katika tenzi kuonyesha namna fani hizo zilivyojenga tenzi. Sura ya tano ni hitimisho ambapo tumeeleza tuliyoyatambua na kutoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUhakiki Wa Fani Katika Tenzi Za Howani Mwana Howani Na Mwanakukuwa Za Zaynab Himid Mohammeden_US
dc.typeOtheren_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States