Show simple item record

dc.contributor.authorAnnah Nyarangi Kibwage, Annah N.
dc.date.accessioned2024-05-31T10:01:16Z
dc.date.available2024-05-31T10:01:16Z
dc.date.issued2023
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/164913
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu upanuzi na ubanaji wa maana katika kadanda nchini Kenya na Tanzania. Tumebainisha kwa kulinganisha na kulinganua namna lugha ya Kiswahili inavyotumika katika utangazaji wa kandanda nchini Kenya na Tanzania, upanuzi na ubanaji wa maana za maneno katika utangazaji wa kandanda katika Kiswahili na kueleza sababu zinazopelekea kuwepo kwa mabadiliko ya kisemantiki katika lugha ya kandanda. Tumeongozwa na Nadharia ya Pragmatiki Leksika katika uchanganuzi wa data yetu. Tulisikiliza matangazo ya moja kwa moja kwenye mtandao wa YouTube na pia kuzisoma taarifa za magazeti kuhusu mchezo wa kandanda. Imetokea kuwa kuna tofauti baina ya lugha ya kandanda inayotumika nchini Kenya na Tanzania kwa misingi ya uchanganyaji ndimi, uhawilishaji wa msimbo, matamshi ya maneno na msamiati unaotumika. Hata hivyo, inapokuja katika matumizi ya mizungu ya lugha hatupati tofauti kubwa baina ya lugha ya kandanda ya Kenya na Tanzania. Pia imedhihirika kuwa upanuzi na ubanaji wa maana hujitokeza kote Kenya na Tanzania na sababu za hali hii ni za kiisimu pamoja na mikakati ambayo imeweza kujibainisha wazi kama vile upolisemia, mazingira, urahisishaji wa mazungumzo, athari za lugha ya kwanza, analojia, utohozi, utiaji wa misamiati mipya, kufupisha maneno na kuambatanisha maneno.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectUpanuzi, Ubanaji, Kandanda, Kenya, Tanzaniaen_US
dc.titleUpanuzi Na Ubanaji Wa Maana Katika Kandanda: Ulinganisho Na Ulinganuzi Nchini Kenya Na Tanzaniaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States