Show simple item record

dc.contributor.authorBaru, Wambui T
dc.date.accessioned2013-05-02T06:26:27Z
dc.date.available2013-05-02T06:26:27Z
dc.date.issued1992
dc.identifier.citationTasnifu hii imetolewa ill kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahadaen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18172
dc.description.abstractTasnifu hii ni uhakiki wa riwaya nne za Kezi1ahabi yaani Rosa Mistika (1971), Kichwamaji (1974), Dunia Uwanja wa Fujo (1975) na Gamba la Nyoka (1979), ukidhamiria kuchunguza jinsi ambavyo suala la bonde la wakati limemulikwa. Lengo kuu la tasnifu hii ni kuonyesha uzito uliopewa dhana ya bonde la wakati katika kuelezea mahusiano ya kijamii. Imegawanyika katika sura sita. Katika sura ya kwanza kuna mada ya tasnifu, somo la utafiti, madhumuni ya utafiti, upeo wa tasnifu, yaliyofanywa kuhusu somo hili, msingi wa nadharia, haipothesia na mwisho methodolojia. Sura ya pili inamulika utamaduni wa kijadi na uie wa kigeni. Nafasi ya dini pia imeshughulikiwa hapa. Sura ya tatu inahusu mfumo wa elimu wa kimagharibi na jinsi inavyoathiri mtazamo wa kizazi kipya. Sura ya nne inaziangalia athari za kiuchumi-jamii kwenye jamii. Sura ya tano inahusu nafasi. ya siasa katika kuathiri uhusiano wa wanajamii. Sura ya sita ni hitimisho ambayo ni muhtasari wa yote yaliyojadiliwa. Katika sura hii pia kuna sehemu inayoangalia falsafa ya mwandishi na hatimaye sehemu inayozizungumzia riwaya za hivi karibuni za Kezilahabi yaani Nagona (1990) na Mzingile (1991)en
dc.language.isoenen
dc.titleBonde la wakati katika riwaya za Kezilahabien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Artsen


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record