Show simple item record

dc.contributor.authorMuaka, Leonard L L
dc.date.accessioned2013-05-02T06:27:22Z
dc.date.available2013-05-02T06:27:22Z
dc.date.issued1993
dc.identifier.citationMaster of Artsen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18174
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uhakiki wa maudhui katika Amir na una jumla ya sura tano. ushairi wa M.M. Katika sura ya kwanza tumetambua somo letu la utafiti na malen¬go yetu. Tumeweza vi!e vile kutoa haipothesia ambazo zilitusaidia katika utafiti wetu. Sura ya pili io ya wakoloni Afrika hususan inazungumzia masiala ya jumJa hasa kabla ya majiJ¬na athari walizoziacha Afrika baada ya nchi za Tanganyika kupata uhuru wa bendera. Katik a Utenzi wa sura ya tatu tumechambua maudhui Uhuru wa Tanganyika. yapatikanayo katika Sura ya nne imechunguza maudhui yanayopatikana katika diwani ya Tungo Zangu na Malenga wa Mrima Masiala kama vile majaaliwa. unyonge , siasa na uzalendo na mengine mengi yameweza kuchambuli¬wa kwa mujibu wa nadharia yetu ya Mbeko. Sura ya tano ni hitimisho yetu kuhusu kazi za M.M. AmiI' haipothesia zetu ambamo tumejaribu kuonyesha meoni Hapa tumeweza vile vile kuzipima Kila mwisho wa sura mwisho wa sura zote. tuna tanbihi lakini marejeo yametolewaen
dc.publisherUniversity of Nairobien
dc.titleMaudhui katika ushairien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Kiswahilien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record