Mada: "mofofonolonjia ya kiswahili sanifu``: mathalani kikuyu ya kabete ulinganishi
View/ Open
Date
1992Author
Njuguna, Margaret W
Type
ThesisLanguage
enMetadata
Show full item recordAbstract
Kazi hii imelenga kulinganisha halia za Kisauti ambazo zipo katika
Kiswahili sanifu na Kikikuyu sanifu.
Hata hivyo tumeona umuhimu wa kulinganisha Kikikuyu sanifu, na
Kikikuyu cha Kabete.
Lahaja hizi zipo chini ya lahaja ya kusini, kwa mujibu wa Karega (1977).
Katika utangulizi, sura ya kwanza,tumepina Kikikuyu sanifu na Kikikuyu
cha Kabete katika viwango vya fonetiki, na mofolojia na kupata matokeo
sawa.
Tukataka basi kuipa uzito kazi hii kwa kulinganisha na Kiswahili sanifu
kwani data zile zikitoa mshabaha na pia tukiona uzani zaLdd , katika kuchukua
data ya lugha ambayo inayo wazungumzaji wazaliwa wake.
Tunasema hivyo kwa sababu hatuwezi kutenga wazungumzaji wazaliwa
wa Kikikuyu sanifu, tukasema "Ndio hawa". Hivi ni kutokana na [ambo
kwamba, Iahaja moja huteuliwa iwe, au itumike kama lugha sanifu, ili
kukidhi mahitaji rasmi ya uandishi na utangazaji katika muktadha wa lahaja
nyingi, au kadha.
Kwa jumla.lipo tatizo la kuweza kupambanua tofauti za kimatamshi kwa
kutegemea maandishi ya kawaida au othografia ya lugha ya Kikikuyu sauti.
Sponsorhip
The University of NairobiPublisher
Department of Educational management