Mwamko wa wanawake katika tamthilia nne za Penina muhando
View/ Open
Date
1997Author
Nyamberi, Hezron M
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Tasnifuhii ni uhakiki wa maudhui ya Mwamko wa wanawake katika Tamthilia Nne
za Penina Muhando nazo ni Hatia. Heshima Yangu Nguzo Mama: na Lina Ubani.
Mwongozo wetu katika tasnifu hii ni nadharia ya ufeministi inayorejelea
uwakilishaji wa haki za wanawawake kufuatana na imani ya usawa wa kijinsia.
Inalengakupigania kukomeshwa kwa udhalimu wa mwanamke kwa njia yoyote ile.
Tumeigawanyakazi hii katika sura sita.
Sura ya kwanza ina somo la utafiti, madhumuni ya tasnifu, sababu ya kuchagua
mada, upeo na mipaka ya Tasnifu. Aidha tunazungurnzia yaliyoandikwa kuhusu
madahii nadharia na njia za utafiti.
Katika sura ya pili, tatu, nne na tano, tumejadili matatizo yanayo wa kumba
wanawakekatika hali mbali na juhudi zao za kujikomboa na mwisho katika sura ya
sita tumehitimisha kazi yetu kwa kuchunguza swala la mwamko wa wanawake
kamaunavyojitokeza katika maadishi tuliyoyataja.
Citation
M.A (Swahili) 1988 ThesisSponsorhip
University of NairobiPublisher
Depatment of Linguistics, University of Nairobi
Description
Master of Arts Thesis