Show simple item record

dc.contributor.authorNyamberi, Hezron M
dc.date.accessioned2013-05-02T13:41:28Z
dc.date.available2013-05-02T13:41:28Z
dc.date.issued1997
dc.identifier.citationM.A (Swahili) 1988 Thesisen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18461
dc.descriptionMaster of Arts Thesisen
dc.description.abstractTasnifuhii ni uhakiki wa maudhui ya Mwamko wa wanawake katika Tamthilia Nne za Penina Muhando nazo ni Hatia. Heshima Yangu Nguzo Mama: na Lina Ubani. Mwongozo wetu katika tasnifu hii ni nadharia ya ufeministi inayorejelea uwakilishaji wa haki za wanawawake kufuatana na imani ya usawa wa kijinsia. Inalengakupigania kukomeshwa kwa udhalimu wa mwanamke kwa njia yoyote ile. Tumeigawanyakazi hii katika sura sita. Sura ya kwanza ina somo la utafiti, madhumuni ya tasnifu, sababu ya kuchagua mada, upeo na mipaka ya Tasnifu. Aidha tunazungurnzia yaliyoandikwa kuhusu madahii nadharia na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tatu, nne na tano, tumejadili matatizo yanayo wa kumba wanawakekatika hali mbali na juhudi zao za kujikomboa na mwisho katika sura ya sita tumehitimisha kazi yetu kwa kuchunguza swala la mwamko wa wanawake kamaunavyojitokeza katika maadishi tuliyoyataja.en
dc.description.sponsorshipUniversity of Nairobien
dc.language.isootheren
dc.titleMwamko wa wanawake katika tamthilia nne za Penina muhandoen
dc.typeThesisen
local.publisherDepatment of Linguistics, University of Nairobien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record