Mada: ulinganisiii wa mofofonolojia ya Kiswahili na kidawida.
View/ Open
Date
2000Author
Mwaliwa, Hanah C
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wote waliochangia hapa na pale katika ufanisi wa
utafiti huu.
Kwanza nawashukuru wazazi wangu ambao warnejitoa mhanga kunielirnisha.
Pili nawashukuru wasimamizi wangu Dkt. Kithaka wa Mberia na Bi, Margaret
Njuguna ambao wamenipa mwongozo na mawaidha mcngi yaliyofanik isha kazi hii.
Aidha nawashukuru walimu wangu Prof. Abdulaziz, James Michil_·is.",--_
Dkt. Kineene wa Mutiso, Tom Mboya Olali arnbao pia ~menisaidia na
mawaidha hapa na pale.
Hali kadhalika nawashukuru wenzangu Bernard Orina, Mark Kandagar,
Emmanuel Satia, Baongoli na Mwalimu Akida tuliopitia mkondo mrnoja wa masorno.
Wao pia wamemsaidia si haba kwa mawaidha yao 113pa na pale.
Vilvile nawashukuru mabwana Willis Mwaturnia, Renson Mbogho na wcnginc
pale maktabani ambao hawakuchoka kunisaidia kila ninapowaendea, kwa hudurna za
maktabani pamoja na maelezo mengi yanayohusu utafiti huu.
Pia napenda kushukuru msaidizi wangu katika utafiti huu Bw. Willis Mwaturnia
ambaye hakuchoka kunipa maelezo na data zilizohitajika kwenye utafiti huu.
Mwisho nawashukuru wapiga chapa wa kazi hii Rchema, Eliud, Alinda, na wcngineo.
Shukrani, na Mungu awabariki.
-