Show simple item record

dc.contributor.authorMwaliwa, Hanah C
dc.date.accessioned2013-05-03T08:05:38Z
dc.date.available2013-05-03T08:05:38Z
dc.date.issued2000
dc.identifier.citationMasters of artsen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18564
dc.description.abstractNapenda kutoa shukrani zangu kwa wote waliochangia hapa na pale katika ufanisi wa utafiti huu. Kwanza nawashukuru wazazi wangu ambao warnejitoa mhanga kunielirnisha. Pili nawashukuru wasimamizi wangu Dkt. Kithaka wa Mberia na Bi, Margaret Njuguna ambao wamenipa mwongozo na mawaidha mcngi yaliyofanik isha kazi hii. Aidha nawashukuru walimu wangu Prof. Abdulaziz, James Michil_·is.",--_ Dkt. Kineene wa Mutiso, Tom Mboya Olali arnbao pia ~menisaidia na mawaidha hapa na pale. Hali kadhalika nawashukuru wenzangu Bernard Orina, Mark Kandagar, Emmanuel Satia, Baongoli na Mwalimu Akida tuliopitia mkondo mrnoja wa masorno. Wao pia wamemsaidia si haba kwa mawaidha yao 113pa na pale. Vilvile nawashukuru mabwana Willis Mwaturnia, Renson Mbogho na wcnginc pale maktabani ambao hawakuchoka kunisaidia kila ninapowaendea, kwa hudurna za maktabani pamoja na maelezo mengi yanayohusu utafiti huu. Pia napenda kushukuru msaidizi wangu katika utafiti huu Bw. Willis Mwaturnia ambaye hakuchoka kunipa maelezo na data zilizohitajika kwenye utafiti huu. Mwisho nawashukuru wapiga chapa wa kazi hii Rchema, Eliud, Alinda, na wcngineo. Shukrani, na Mungu awabariki. -en
dc.description.sponsorshipUniversity of Nairobien
dc.language.isootheren
dc.titleMada: ulinganisiii wa mofofonolojia ya Kiswahili na kidawida.en
dc.typeThesisen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record