Show simple item record

dc.contributor.authorMungah, Charles I
dc.date.accessioned2013-05-10T06:20:11Z
dc.date.available2013-05-10T06:20:11Z
dc.date.issued1999
dc.identifier.citationMaster of Artsen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/21045
dc.description.abstractTasnifu hii imechunguza suala la maisha kati ya maudhui mengine katika novel a mbili za kezilahabi • Nagana na Mzingile. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza tumebainisha tatizo la utafiti. Aidha tumebainisha madhurnuni ya tasnifu, sababu za kuchagua mada hii pamoja na mipaka ya kazi hii. Waaidha tumefanya udurusu wa yalioandikwa kuhusu mada hii. Nadharia ambayo tumetumia ni ya kisosholojia ambayo baadhi ya kanuni zake ru kusaili mazmgira kazi ya kifasihi ilimoibuka na mazrngira alimoandikia msanii. Sura ya pili imeonyesha juhudi mbalirnbali za binadamu maishani katika kujaribu kuelezea ukweli na uhalisi wa maisha yake. Juhudi za mashujaa vilevile na asasi mbalimbali zimejadiliwa Elimu ya mwanadarnu na mipak a yake katika kuelezea maana ya maisha imezungumziwa. inaweza kupatikana maishani mwa binadarnu Hatimaye sura hii imechunguza na kujadili dhana ya ukweli kama ambavyo msanii huyu amelisawiri suala hili katika Nagona na Mzingile. Katika sura ya nne tumeonyesha vile ambavyo mwandishi ameathiriwa na mazingira alimoandikia na kuyamithilisha na mazingira ya kipindi ambacho udhanaishi uliweza kupata mwamko mpya huko Magharibi Aidha umebainisha kuwa maisha ya msanii huyu na athari alizopata kutoka kwa waandishi na watetezi wa udhanaishi yameathiri mtazamo wake wa maisha vikubwa. Hatimaye katika sura ya tano tumehitimisha kwa kutoa maoni yetu kwa ujumla kuhusu kazi hizi pamoja na masuala muhimu ambayo tumeyajadili katika sura za mwanzo. Aidha tumependekeza kazi hizi zifanyiwe uhakiki zaidi hasa kwa upande wa fanien
dc.language.isootheren
dc.publisherUniversity of Nairobien
dc.titleDhana ya maisha katika novela mbili za Euphrase Kezilahabi: Nagona na mzingileen
dc.typeThesisen
local.publisherFaculty of Arts Kiswahilien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record