Show simple item record

dc.contributor.authorWepoh, Eric W
dc.date.accessioned2013-05-10T07:20:31Z
dc.date.available2013-05-10T07:20:31Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.citationMaster of Artsen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/21093
dc.description.abstractKazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa kuhusu somo hili, upeo na mipaka ya utafiti wetu, mbinu tulizotumia kutafiti pamoja na msingi wa nadharia ambayo tumetumia. Katika sura ya pili, tumejadili misingi mbalimbali ya uhakiki wa kifani. Tumeeleza maana zake na jinsi misingi yenyewe inavyotumika katika uhakiki wa kifani. Katika sura ya tatu, tumezihakiki tenzi hizi mbili ; Utenzi wa Siri Li Asirali na Utenzi wa Mwana Fatuma kwa kutumia misingi ya uhakiki wa kifani kama tulivyoifafanua katika sura ya pili. Na katika sura ya nne, ambayo ndio ya mwisho, tumetathmini matokeo ya utafiti wetu pamoja na kutoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en
dc.description.sponsorshipUniversity of Nairobien
dc.language.isootheren
dc.titleUhakiki wa kifani katika utenzi wa siri li asirali na utenzi wa mwana Fatumaen
dc.typeThesisen


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record