Show simple item record

dc.contributor.authorKisiroche, Reuben I. K
dc.date.accessioned2013-05-26T09:38:43Z
dc.date.available2013-05-26T09:38:43Z
dc.date.issued2008-07
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/25912
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza sauti ya mwanamke dhidi ya ubabedume kupitia nguvu ya hoja kama mojawapo ya silaha mwafaka katika kumkomboa mwanamke. Tamthilia , zilizoteuliwa kuhakikiwa katika kazi hii ni tatu ambazo ni za Njogu K. (Zilizala), Wa Mberia K. (Natala) na Arege T. (Chamchela). Sura ya kwanza ni msingi wa utafiti, madhumuni, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka ya utafiti pamoja na nadharia tete zilizotumika.Pia imejumuisha msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusiana na mada hii, zikiwemo njia za utafiti zilizotumika katika kazi hii. Sura ya pili imeshugulikia kwa ufupi chanzo cha harakati za wanawake kutaka kujikomboa, pamoja na nafasi ya lugha katika kumkomboa mwanamke, sifa za drama katika harakati hizi, sura mbalimbali za ubabedume na sababu za kutaka kuwadhibiti wanawake. Sura ya tatu inashughulika na sauti ya mwanamke kupitia nguvu za hoja mbalimbali na ufaafu wake katika kuumbua na kudengua chukulizi mbalimbali hasi za ubabedume zitumiwazo kuwakandamiza na kuwadunisha wanawake. Matumizi haya ya nguvu za hoja yameshughulikiwa kwa kina na kuonyesha jinsi sauti ya mwanamke kupitia nguvu ya hoja ilivyo na uwezo wa kurnkomboa mwanamke kutokana na chukulizi hasi za muda mrefu za ubabedume ambazo zimewarenga baadhi ya wanawake. Utafiti huu umechunguza sauti ya mwanamke dhidi ya ubabedume kupitia nguvu ya hoja kama mojawapo ya silaha mwafaka katika kumkomboa mwanamke. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa katika kazi hii ni tatu ambazo ni za Njogu K. (Zilizala), Wa Mberia K. (Natala) na Arege T. (Chamchelai. Sura ya kwanza ni msingi wa utafiti, madhumuni, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka ya utafiti pamoja na nadharia tete zilizotumika.Pia imejumuisha msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusiana na mada hii, zikiwemo njia za utafiti zilizotumika katika kazi hii. Sura ya pili imeshugulikia kwa ufupi chanzo cha harakati za wanawake kutaka kujikomboa, pamoja na nafasi ya lugha katika kumkomboa mwanamke, sifa za drama katika harakati hizi, sura mbalimbali za ubabedume na sababu za kutaka kuwadhibiti wanawake. Sura ya tatu inashughulika na sauti ya mwanamke kupitia nguvu za hoja mbalimbali na ufaafu wake katika kuumbua na kudengua chukulizi mbalimbali hasi za ubabedume zitumiwazo kuwakandamiza na kuwadunisha wanawake. Matumizi haya ya nguvu za hoja yameshughulikiwa kwa kina na kuonyesha jinsi sauti ya mwanamke kupitia nguvu ya hoja ilivyo na uwezo wa kumkomboa mwanamke kutokana na chukulizi hasi za muda mrefu za ubabedume ambazo zimewarenga baadhi ya wanawake. Sura ya nne nayo imeshughulikia kwa kina matokeo mbalimbali ya sauti ya mwanamke iliyo na nguvu ya hoja katika tamthilia zote tatu. Aidha sura hii imetathimini kufaulu kwa mwanamke katika kutetea msimamo na imani zake licha ya vitisho. Sura ya tano inatoa muhtasari wa matokeo ya utafiti pamoja na mapendekezo ya utafiti wa baadaye.en
dc.language.isoenen
dc.publisherUniversity of Nairobi,en
dc.titleSauti ya mwanamke dhidi ya ubabedume katika tamtihlia tatu za Kiswahilien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Kiswahilien


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record