Show simple item record

dc.contributor.authorMbula Edward J
dc.date.accessioned2012-11-13T12:28:47Z
dc.date.available2012-11-13T12:28:47Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3307
dc.description.abstractUtafiti huu unanura kuchanganua makosa ya kifonolojia yanayofanywa na wazungumzaji wa kikamba kama lugha ya kwanza wanapojifunza Kiswahili sanifu kama lugha yao ya pili. 1Ii kufikia malengo, utafiti huu umetumia nadharia ya lugha - kati kama ilivyopendekezwa na Selinker (1972) hasa mifanyiko yake mitano ya kisaikolojia. Hivyo ilibidi tupange kazi hii kwa sura tano kama ifuatayo. Sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada hii, upeo na mipaka ya utafiti, yaliyoandikwa kuhusu mada hii, msingi wa kinadharia na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tumeshughulikia, uainishaji wa fonimu za Kiswahili sanifu pamoja na fonimu za Kikamba. Hapo ndipo tumebainisha sifa bainifu za fonirnu mbalimbali pamoja na kuangazia. Katika sura hii tumeturnia uanishaji wa sifa bainifu kwa mwelekeo wa Chomsky & Hale (1968). Katika sura ya tatu tumelinganisha miundo ya silabi katika lugha ya Kikarnba na lugha ya Kiswahili sanifu ikiwa kuzitofautisha na kuangazia mifano mbalimbali. Katika sura ya nne tumechanganua data. Katika kufanya hivyo tumezingatia mihimili minne ya nadharia ya lugha - kati kama ilivyopendekezwa na Selinker (1972) Katika sura ya tano tumetoa muhtasari wa kazi nzima, hitimisho na mapendekezo. Hapa ndipo tumebaini ni kwa kiwango kipi tulivyoafikia malengo yetu.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUchanganuzi wa makosa ya kifonolojia yanayofanywa na wazungumzaji wa kikamba wanapojifunza Kiswahili sanifuen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record