Fani katika Utenzi wa Ayubu
View/ Open
Date
2011Author
Mwilaria, Reuben
Type
ThesisLanguage
en_USMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu umeshughulikia fani katika Utenzi wa Ayubu Sura ya kwanza ni somo la utafiti, madhumuoi, nadharia tete, sababu za kuchagua somo, upeo na mipaka, na misingi ya nadharia. Vilevile imejumuisha yaliyoandikwa kuhusiana na mada hii, na methodolojia.
Sura ya pili imeshughulikia kwa ufupi historia ya ushairi wa Kiswahili pamoja na dhana ya tenzi.
Pia imejumuisha arudhi katika tenzi, tenzi katika vipindi mbalimbali, dhima ya tenzi katika jamii na historia ya Utenzi wa Ayubu.
Sura ya tatu imeshughulikia uhakiki wa fani katika Utenzi wa Ayubu. Tumerejelea viungo mbalimbali vya fani kama vile msamiati uliotumika, tamathali za usemi, wahusika, ploti, toni, mtindo, mandhari na wakati, kuuhakiki utenzi huu. Sura ya one ni hitimisho la kazi nzima, matokeo ya utafiti wetu na mapendekezo kuhusu tafiti za baadaye. Utafiti huu umeoogozwa na nadharia ya urasimu wa kirusi.
Publisher
University of Nairobi, Kenya