Show simple item record

dc.contributor.authorMwilaria, Reuben
dc.date.accessioned2012-11-13T12:28:51Z
dc.date.available2012-11-13T12:28:51Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3341
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia fani katika Utenzi wa Ayubu Sura ya kwanza ni somo la utafiti, madhumuoi, nadharia tete, sababu za kuchagua somo, upeo na mipaka, na misingi ya nadharia. Vilevile imejumuisha yaliyoandikwa kuhusiana na mada hii, na methodolojia. Sura ya pili imeshughulikia kwa ufupi historia ya ushairi wa Kiswahili pamoja na dhana ya tenzi. Pia imejumuisha arudhi katika tenzi, tenzi katika vipindi mbalimbali, dhima ya tenzi katika jamii na historia ya Utenzi wa Ayubu. Sura ya tatu imeshughulikia uhakiki wa fani katika Utenzi wa Ayubu. Tumerejelea viungo mbalimbali vya fani kama vile msamiati uliotumika, tamathali za usemi, wahusika, ploti, toni, mtindo, mandhari na wakati, kuuhakiki utenzi huu. Sura ya one ni hitimisho la kazi nzima, matokeo ya utafiti wetu na mapendekezo kuhusu tafiti za baadaye. Utafiti huu umeoogozwa na nadharia ya urasimu wa kirusi.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleFani katika Utenzi wa Ayubuen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record