Nafasi ya dini katika ndoa: Tathmini ya utenngano na paradiso

View/ Open
Date
2011Author
Muhanda, Howard Bitinyu
Type
ThesisLanguage
en_USMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu umeshughulikia nafasi ya dini katika ndoa na vile uhusiano huu wa dini na ndoa unavyomwathiri mwanamke katika jamii.
Sura ya kwanza ni tatizo la utafiti, madhumuni, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, yaliyoandikwa kuhusu mada, msingi ya nadharia, na njia za utafiti.
Sura ya pili imeshughulikia athari ya dini ya kikristo katika taasisi ya ndoa na maswala mengine yanayoibuka katika Paradiso (2005).
Sura ya tatu imeshughulikia athari ya dini ya Kiislamu katika taasisi ya ndoa na masuala mengine yanayoibuka katika Riwaya Ya Utengano (1980). Sura ya nne ni hitimisho na mapendekezo kuhusu utafiti wa baadaye wa kazi kama hii.
Publisher
University of Nairobi, Kenya