Show simple item record

dc.contributor.authorMuhanda, Howard Bitinyu
dc.date.accessioned2012-11-13T12:29:24Z
dc.date.available2012-11-13T12:29:24Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3581
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia nafasi ya dini katika ndoa na vile uhusiano huu wa dini na ndoa unavyomwathiri mwanamke katika jamii. Sura ya kwanza ni tatizo la utafiti, madhumuni, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, yaliyoandikwa kuhusu mada, msingi ya nadharia, na njia za utafiti. Sura ya pili imeshughulikia athari ya dini ya kikristo katika taasisi ya ndoa na maswala mengine yanayoibuka katika Paradiso (2005). Sura ya tatu imeshughulikia athari ya dini ya Kiislamu katika taasisi ya ndoa na masuala mengine yanayoibuka katika Riwaya Ya Utengano (1980). Sura ya nne ni hitimisho na mapendekezo kuhusu utafiti wa baadaye wa kazi kama hii.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleNafasi ya dini katika ndoa: Tathmini ya utenngano na paradisoen_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record