Show simple item record

dc.contributor.authorOyoyo, Jenipher O
dc.date.accessioned2013-11-13T06:22:06Z
dc.date.available2013-11-13T06:22:06Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.citationOyoyo,Jenipher O.;2013.Uhakiki Wa Fani Katika Ngano Tano Za Kiswahili.en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/58769
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia fani katika ngano teule za Kiswahili kwa kutumia nadharia ya umuundo. Tasnifu hii ina sura sita. Katika sura ya kwanza, tumeangalia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua mada ya utafiti na kuorodhesha nadharia tete za utafiti huu. Katika sura hii pia tumeshughulikia yaliyoandikwa kuhusu mada, upeo wa utafiti, msingi wa kinadharia na njia za utafiti. Tulitumia mbinu ya maktabani kukusanya data tuliyohitaji na kuichanganua. Katika sura ya pili, tumetoa maelezo kuhusu fani na vipengele vyake kama; msuko wahusika, usimulizi, muundo na tamathali za usemi. Sura ya tatu, imeangazia tathmini ya msuko, wahusika na usimulizi katka ngano tatu za kibunifu kutoka jamii ya Waswahili. Katika sura ya nne, vile vile tumechanganua msuko, wahusika na mbinu ya usimulizi zilizotumika katika ngano kutoka jamii ya Waswahili vile vile. Sura ya tano, imeshughulikia matumizi ya lugha na tamathali mbalimbali za usemi kama zinavyojitokeza katika ngano tulizochambua. Sura ya sita imezungumzia hitimisho tathmini na mapendekezo ya utafiti wa baadaye.en
dc.language.isootheren
dc.publisherUniversity of Nairobien
dc.titleUhakiki Wa Fani Katika Ngano Tano Za Kiswahilien
dc.typeThesisen
local.publisherCollege of Humanities and Social Sciencesen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record