Show simple item record

dc.contributor.authorOwallah, Kennedy O
dc.date.accessioned2013-11-13T12:41:28Z
dc.date.available2013-11-13T12:41:28Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.citationshahada ya uzamili (m.a)en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/58949
dc.descriptionTasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili (m.a) katika chuo kikuu cha Nairobi.en
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uchanganuzi wa maudhui teule katika Utenzi wa Nabii Isa. Huu ni utenzi wa miaka ya (1970) lakini una uyakinifu katika jamii ya kisasa kimaudhui. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeshughulikia mambo ya kiutangulizi ambayo yanahusu mada ya utafiti, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua mada hii, nadharia tete, upeo na mipaka, msingi wa kinadharia na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tumefafanua dhana ya maudhui na baadaye kuangalia baadhi ya mihimili inayotumika kama nguzo dhabiti za maudhui. Mihimili hii ndiyo imeweka msingi wa kukuza zaidi na kuendeleza sura ya tatu kwa kuonyesha msingi wa kukusanya na kuchanganua data ya utafiti wetu. Sura ya tatu inahusu uchangunuzi wa maudhui teule katika Utenzi wa Nabii Isa. Baada ya kuyachanganua maudhui haya katika sura hii. Sura yetu ya nne imejadili jinsi ambavyo maudhui haya yameibua athari katika utenzi wenyewe na vilevile uyakinifu wake katika jamii ya kisasa. Sura ya tano na ya mwisho ni ya hitimisho la utafiti wetu. Katika sura hii, tumetoa mapendekezo ya utafiti wa kimaudhui zaidi katika Utenzi wa Nabii Isa.en
dc.language.isoenen
dc.publisherUniversity of Nairobien
dc.titleUhakiki Wa Maudhui Teule Katika Utenzi Wa Nabii Isaen
dc.typeThesisen
local.publisherIDARA YA ISIMU NA LUGHA.en


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record