Show simple item record

dc.contributor.authorYego, Elizabeth K
dc.date.accessioned2013-11-20T09:59:22Z
dc.date.available2013-11-20T09:59:22Z
dc.date.issued2013-06
dc.identifier.citationShahada Ya Uzamili Katika Chuo Kikuu Cha Nairobi Juni, 2013en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/59589
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uchambuzi wa maudhui katika nyimbo za taarab za Kibiriti Upele na Tupendane Wabaya Waulizane.Nyimbo hizi ziliimbwa na Mwanaidi Shaaban na Mzee Yusuf. Kazi hii imegawanywa katika sura sita.Katika sura ya kwanza tumeangazia maswala muhimu ya utafiti wetu.Tumeelezea swala la utafiti,madhumuni na nadharia tete zilizotuongoza.Aidha sababu za utafiti zimeelezwa pamoja na upeo na mipaka.Msingi wa nadharia wa utafiti umefafanuliwa na yaliyoandikwa kuhusu mada yalijadiliwa.Mwisho,mbinu za utafiti zimebainishwa na uchanganuzi wa data umefanywa. Katika sura ya pili tulitanguliza kwa kueleza maana ya fani ya wimbo pamoja na kuzitolea maelezo ya aina mbalimbali za fani hii.Tumewarejelea wataalamu mbalimbali walioshughulikia fani hii. Sura ya tatu na nne zimebainisha maudhui kwa kina katika nyimbo za Kibiriti Upele na Tupendane Wabaya Waulizane mtawalia. Katika sura ya tano tumebainisha matumizi ya lugha katika kuwasilisha ujumbe wa waimbaji kwa hadhira.Sura ya sita ni hitimisho.Matokeo ya uchunguzi yalielezwa na mapendekezo ya uchunguzi zaidi yakatolewa.en
dc.language.isootheren
dc.titleNafasi ya mwanamke: Jinsi inavyotetewa katika nyimbo za taarab za zanzibaren
dc.typeThesisen
local.publisherIdara Ya Isimu Na Lughaen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record