Show simple item record

dc.contributor.authorOkeyo, Juliet S
dc.date.accessioned2013-11-25T16:14:17Z
dc.date.available2013-11-25T16:14:17Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.citationTasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika Chuo Kikuu cha Nairobien
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/60247
dc.description.abstractMUHTASARI Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya usonde nafsi na usonde jamii katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi wa Kiswahili. Tumetumia nadharia ya uhusiano kwa sababu ya sifa ya usonde ya kutegemea muktadha kwenye ufasiri wa maneno yake. Vivyo hivyo tumechagua kutafitia usonde nafsi na usonde jamii ili kutathmini wazo la Marmaridou (2000) kuwa kategoria hizi mbili za usonde zina mtagusano kiasi cha kuchukuliwa kuwa ni kategoria moja. Utafiti huu ulifanywa kwa kutumia utafiti stahilifu kimaelezo kwa kuwa data ambayo ilikusanywa ilikuwa katika umbo la maneno tamkwa ya walimu na wanafunzi. Hatua zilizotumiwa katika ukusanyaji ni pamoja na kusikiliza, kurekodi na kuandika. Data ilichanganuliwa kwa kutumia utaratibu wa kusimba pronomino pamoja na hatua za uzulishaji katika utaratibu wa ufahamu katika nadharia ya uhusiano. Hatimaye utafiti huu umeshikilia kuwa, katika lugha ya Kiswahili kuna uhusiano kati ya usonde nafsi na usonde jamii hasa katika baadhi ya matumizi ya usonde nafsi. Kwa hivyo haipaswi kushikilia kuwa usonde nafsi na usonde jamii ni kategoria moja ya usonde.en
dc.language.isoenen
dc.titleMatumizi ya usonde nafsi na usonde jamii: mtazamo wa uhusianoen
dc.typeThesisen
local.publisherIdara Ya Kiswahili, University of Nairobien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record