Athari za kidini katika utenzi wa rasi'lghuli
View/ Open
Date
2013Author
Muriithi,Kariuki J.
Type
ThesisLanguage
enMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa athari za kidini katika Utenzi wa Rasi 'IGhuli, utenzi huu ni
mrefu na wa zamani lakini una uyakinifu katikajamii ya kisasa.
Tasnifu hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia mambo ya
kiutangulizi ambayo yanahusu mada ya utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za
kuchagua mada, upeo na mipaka, msingi wa kinadharia, yaliyoandikwa kuhusu mada na njia za
utafiti.
Katika sura ya pili, tumechanganua athari hasi mbali mbali zinavyojitokeza katika Utenzi wa
Rasi TGhuli.
Katika sura ya tatu, tumechanganua athari chanya mbali mbali zinavyojitokeza katika Utenzi wa
Rasi'IGhuli.
Sura ya nne, imeangaziajinsi athari za kidini zinavyoathiri maisha katikajarnii kwa kurejelea
utenzi na pia uyakinifu wazo katikajarnii.
Sura ya tano ni hitirnisho, katika sura hii, tumetoa muhtasari wa maoni kuhusu tasnifu hii pamoja
na mapendekezo ya kufanyiwa utafiti zaidi.
Publisher
Unversity of Nairobi