Show simple item record

dc.contributor.authorMuriithi,Kariuki J.
dc.date.accessioned2014-01-11T09:49:58Z
dc.date.available2014-01-11T09:49:58Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/63119
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu uchanganuzi wa athari za kidini katika Utenzi wa Rasi 'IGhuli, utenzi huu ni mrefu na wa zamani lakini una uyakinifu katikajamii ya kisasa. Tasnifu hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia mambo ya kiutangulizi ambayo yanahusu mada ya utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka, msingi wa kinadharia, yaliyoandikwa kuhusu mada na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tumechanganua athari hasi mbali mbali zinavyojitokeza katika Utenzi wa Rasi TGhuli. Katika sura ya tatu, tumechanganua athari chanya mbali mbali zinavyojitokeza katika Utenzi wa Rasi'IGhuli. Sura ya nne, imeangaziajinsi athari za kidini zinavyoathiri maisha katikajarnii kwa kurejelea utenzi na pia uyakinifu wazo katikajarnii. Sura ya tano ni hitirnisho, katika sura hii, tumetoa muhtasari wa maoni kuhusu tasnifu hii pamoja na mapendekezo ya kufanyiwa utafiti zaidi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUnversity of Nairobien_US
dc.titleAthari za kidini katika utenzi wa rasi'lghulien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record