Show simple item record

dc.contributor.authorRaitania, Ann M
dc.date.accessioned2014-11-28T09:56:19Z
dc.date.available2014-11-28T09:56:19Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/75617
dc.descriptionThesisen_US
dc.description.abstractUpole ni suala muhimu sana katika kuanzisha na kudumisha mahusiano mema baina ya wanajamii. Ili kudumisha mahusiano hayo, wazungu mzaji wakati wote hulazimika kutumia mikakati mbalimbali ya upole ili kuokoa nyuso zao na za wenzao. Tasnifu hii ni uchunguzi wa jinsi mikakati ya upole ilivyotumika katika vipindi vya runinga kwa kuangazia vipindi vya Mawaidha na Bi.Msafwari katika runinga ya Citizen. Uchunguzi huu ulinuia kubainisha i wapo mazungumzo katika vipindi hivi hujali ma hitaji ya uso ya wahusika, pia kujadili mikakati ya upole iliyotumika katika vipindi hivi na vilevile kubai nisha iwapo nadharia ya uso ya Brown na Levinson (1978, 1987) inaweza kutumiwa kufafanulia mikakati hiyo. Ilibainika kuwa vipindi vya Mawaidha na Bi. Msafwari hujali mahitaji ya uso na nadharia ya upole ya uso ni msingi tosha wa kufafanulia mikakati husika ya upole. Kutokana na matokeo ya uchunguzi huu, tunapendekeza kuwa utafiti zaidi ufanywe kuhusiana na suala la upole katika vyombo mbalimbali vya habari kwa kutumia nadharia tofauti na vipengele tofauti vya nadharia hizo. Kwa hakika upole ni dhana muhimu sana katika kila mazungumzo kwani umuhimu wa kuokoa nyuso za wahusika hauwezi kusisitizwa zaidi hasa katika mazungumzo k wenye vipindi vya runinga ambavyo kwavyo maoni ya watazamaji pia hutiliwa maanani
dc.language.isoOthersen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleMikakati ya upole katika vipindi vya Runinga: Mawaidha na Bi.Msafwari katika Runinga ya Citizenen_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record