Show simple item record

dc.contributor.authorKaranja, Margaret W
dc.date.accessioned2014-12-03T11:13:56Z
dc.date.available2014-12-03T11:13:56Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.citationMaster of Artsen_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/76082
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tamathali tatu za ulinganisho ambazo ni istiari, tashbiha na taashira katika diwani ya Sauti ya Dhiki iliyoandikwa na Abdilatif Abdalla (1973). Utafiti umeonyesha kwamba Abdilatif alitumia tamathali hizi tatu kati ya zingine ambazo hazijashughulikiwa katika utafiti kufikia dhamira yake kwa hadhira yake teule. Ni mashairi ishirini tu tumeshughulikia ambayo tulichagua kwa kutumia sampuli ya kusudi. Katika utafiti huu, nadharia ya uhakiki wa mtindo imetumika ambapo baadhi ya vigezo vyake vimehusika. Nadharia hii iliwezesha kuhakiki viashiria vilivyotumika kuunda tamathali za semi; istiari, tashbiha na taashira katika diwani ya Sauti ya Dhiki na kuvipa maana viashiria hivi. Matokeo ya utafiti ni kuwa mwandishi alitumia tamathali za semi; istiari, tashbiha na taashira kwa njia ya kufana na kufikia dhamira yake ya kuficha ujumbe ili usifikie wasiolengwa, kuleta tafsida, kujenga mshikamano wa kisemantiki, kufikia umbuji wa mashairi pamoja na kuboresha kazi yake.Tasnifu hii imeleta uelewa zaidi ya tamathali hizi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleMatumizi Ya Istiari, Tashbiha Na Taashira Katika Diwani Ya Sauti Ya Dhikien_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record