Show simple item record

dc.contributor.authorObara, Jane M
dc.date.accessioned2014-12-17T15:30:44Z
dc.date.available2014-12-17T15:30:44Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.citationShahada ya uzamili ya Kiswahilien_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/77861
dc.description.abstractMadhumuni ya utafiti huu ni kuchanganua makosa ya kifonolojia, kimofolojia na kisintaksia yanayojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii. Utafiti huu ulitathmini ni kwa kiwango kipi lugha ya Ekegusii inachangia makosa hayo. Ili kufikia malengo ya utafiti huu, wanafunzi kutoka viwango viwili tofauti vya usomi waliandika insha ambazo zilisahihishwa na makosa yaliyopatikana kuchanganuliwa kwa misingi ya mtazamo wa Uchanganuzi Makosa. Makosa hayo yaliainishwa katika kategoria mbalimbali kisha sababu zinazosababisha makosa hayo kuelezwa. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwepo kwa makosa haya katika viwango vyote japo kadiri mwanafunzi anavyoendelea na masomo katika viwango vya juu, makosa yanapungua. Lugha ya Ekegusii ilichangia pakubwa kutokea kwa makosa haya.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUchanganuzi wa makosa yanayofanywa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusiien_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record