Now showing items 1-1 of 1

    • Uchanganuzi Wa Mtindo Katika Tahariri Ya Gazeti La Taifa Leo 

      Chepkorir, Florah (University of Nairobi, 2016)
      Tasnifu hii inatoa matokeo ya uchanganuzi wa mtindo katika tahariri ya gazeti la Taifa Leo. Utafiti huu ulinuia kuchanganua uteuzi wa maneno, virai na miundo ya sentensi iliyotumiwa na mwandishi wa tahariri ya Taifa Leo. ...