Omar, Said M (University of Nairobi, 2012)
Utafiti huu unahusu uchambuzi wa tamathali za usemi na mbinu nyengine za
matumizi ya lugha katika Utenzi wa Mikidadi na Mayasa na Said Abdalla Masudi
el Buhry el Hinawy.
Kazi hii imegawanywa katika sura nne. Katika sura ...