S.A Mohamed, Jackline Munyoki (2015)
Naungama kuwa kazi hii haikuwa rahisi kuitekeleza lakini kupitia kwa wasimamizi wangu
nimeweza kufaulu. Kujitolea kwao ni zaidi ya ilivyotarajiwa maana hawakuchoka kusoma kwa
kina kazi hiyo na kunielekeza ipasavyo. ...