Otwera, Albert, O (University of Nairobi, 2017)
Suala la ulinganifu katika tafsiri si la kiwango cha maneno na sentensi pekee yake. Uelewa wa vipengele vingine vya ulinganifu kama vile aina za matini na rejesta una natija kwa mfasiri kwa kuwa humwezesha kubaini mbinu ...