Nzilu, Muinde D (University of Nairobi, 2018)
Mada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza matumizi ya taswira katika tamthilia za Pungwa, Kivuli Kinaishi na Mashetani Wamerudi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza matumizi ya taswira katika tamthilia hizi na kuonyesha ...