Obure, Elijah, M (University of Nairobi, 2012)
Utafiti huu unashughulikia swala la dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika nwaya za
E.Kezilahabi, Rosa Mistika (1971) na C. Momanyi, Tumaini (2006) .
Uchanganuzi huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza inahusu ...