Obara, Jane M (University of Nairobi, 2014)
Madhumuni ya utafiti huu ni kuchanganua makosa ya kifonolojia, kimofolojia na kisintaksia
yanayojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha
ya Ekegusii. Utafiti huu ulitathmini ni ...