Raitania, Ann M (University of Nairobi, 2014)
Upole ni
suala
muhimu sana katika kuanzisha na
kudumisha mahusiano mema baina ya
wanajamii. Ili kudumisha mahusiano hayo, wazungu
mzaji wakati wote hulazimika kutumia
mikakati mbalimbali ya upole ili kuokoa nyuso zao ...