Yego, Elizabeth K (Idara Ya Isimu Na Lugha, 2013-06)
Utafiti huu unahusu uchambuzi wa maudhui katika nyimbo za taarab za Kibiriti Upele na
Tupendane Wabaya Waulizane.Nyimbo hizi ziliimbwa na Mwanaidi Shaaban na Mzee Yusuf.
Kazi hii imegawanywa katika sura sita.Katika sura ...